AINA ZA COMPYUTA
Kuna aina kuu tatu za kompyuta, nazo ni kama ifuatavyo:-
Kompyuta Dijitali
Ni kompyuta zinazotumika kwa ajili ya kufanyia hesabu pamoja na kazi za kutumia akili.
Kompyuta Analogu
Ni kompyuta zinazotumika kwa ajili ya kupokea taarifa (Data) kama zile za kusomea hali ya hewa, kupimia mishipa ya damu na kupimia kiwango cha chumvi kwenye maji.
Kompyuta Mahuluti (Hybrid Computers)
Kompyuta hizi zinafanana na zile zilizotangulia kutajwa hapo mwanzo, nazo zinatumika kwa ajili ya kutafutia taarifa (Data) kutoka kwa binadamu moja kwa moja na kupitia mandishi na vipimo.
MFANO WA COMYUTA
Basi hapo juu tumetoka kuangalia mfano wa kompyuta twende tukaangalie sifa za compyuter
- 1Sifa za kompyuta
- 1.1Wepesi
- 1.2Ubora
- 1.3Uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu
2Kazi za kompyuta- 2.1Kuhifadhi taarifa (Data)
- 2.2Kuonyesha matokeo ya vitu (Data na Information)
- 2.3Tofauti kati ya data na habari (information)
- 2.3.1Data
- 2.3.2Habari (Information)
basi kwa hayo machache unaweza kuwa na wanga kuhusu compyuter
nice
ReplyDelete