1 Download blogger themes kwenye link iyo Templates
https://gooyaabitemplates.com/

2 Fungua fairi lako kwa kutumia programu ya kufunguria

3 Ingia kwenye blogger

4 Nenda kwenye Theme

5 Nenda kwenye backup/restore

6 nenda kwenye choose file

7 Nenda kwenye chose file

8 Nenda inaenda kwenye file ulilo funguria templates ulio download na unachagua fili xml

9 Hapo unakua umemaliza ku weka muonekano

ni rahisi sana kwa ushauli wasiliana nasi kwa jonasalex61@gmail.com
good
ReplyDelete